AyoTV

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera kataja walichozidiwa wachezaji wake na Simba

on

Baada ya club ya Simba SC kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Meddie Kagere dakika ya 71 katika game ya watani wa jadi uwanja wa Taifa Dar es Salaam, baada ya mchezo huo ni kawaida kwa kila kocha kuuzungumzia lakini kocha mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera alieleza kuwa sababu za kikosi chake kupoteza ni kutokana na kushindwa kuwa wabunifu.

Yondani ana tatizo na Ajib? angalia alivyokataa kumpa mkono

Soma na hizi

Tupia Comments