PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Michezo

Neuer amefunguka “Hii sio Ujerumani ninayoijua”

on

Pamoja na kuwa rekodi ya michuano mitatu mfululizo ya Kombe la Dunia imekuwa kama na utamaduni flani hivi wa Taifa Bingwa kutolewa mapema katika hatua ya makundi katika michuano ijayo ya Kombe la Dunia.

Timu ya taifa ya Ujerumani na yenyewe ilikumbana na mtihani kama huo baada ya kujikuta ikiruhusu kufungwa magoli 2-0 dhidi ya timu ya taifa ya South Korea, licha ya kuwa Korea wao walishatoka lakini kipigo kilikuwa kinawaondoa Ujerumani kwani walihitaji ushindi zaidi ili watimize point sita na kusonga mbele.

Golikipa namba moja wa timu ya taifa ya Ujerumani Manuel Neuer amezungumzia mwenendo wa timu yao na kuhusiana na kutolewa katika michuano hiyo “Tulistahili kutolewa katika michuano ya World Cup hatukuwa tukivutia katika mchezo wowote ule kiukweli hii sio timu ya taifa ya Ujerumani ninayoijua mimi”>>>Neur

Haji Manara kapenda usiku wa VPL ila kafunguka wasiwasi wake

Soma na hizi

Tupia Comments