PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Michezo

Hivi ndivyo Nandy alivyochezesha droo ya 16 bora ya Ndondo Cup 2018

on

Baada ya kumalizika kwa hatua ya Makundi ya michuano ya Ndondo Cup 2018, leo July 4 2018 ilichezeshwa droo ya kupanga hatua ya 16 bora ya michuano hiyo, droo ya leo ilioneshwa na Clouds TV na kuchezeshwa na msanii wa Bongofleva Nandy.

Hivi ndivyo ilivyo hatua ya 16 bora ya Ndondo Cup 2018

1- Kivule vs Kauzu FC                  2- Manzese UTD vs Mabibo 

3-Mlalakuwa vs Keko Furniture    4- Banda FC vs Ilala Kota

5- Misosi FC vs Makuburi           6- Burudani vs Ilala UTD

7- Faru Jeuri vs New Life           8- Mpakani vs UV Temeke

 

Haji Manara kapenda usiku wa VPL ila kafunguka wasiwasi wake

Soma na hizi

Tupia Comments