Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: King Crazy GK amtaja rapper anayemuelewa kwenye game kwa sasa

on

Baada ya kukaa kimya katika game ya bongo fleva kwa muda mrefu, akiwa kama moja ya rappers waliofanya vizuri sana kipindi cha nyuma, Crazy GK amerudi upya na kuachia ngoma yake ya Mzuri pesa ambayo ameimba na sio ku rap kama ambavyo watu wengi tumezoea kumuona katika nyimbo zake.

GK pia ameweza kuieleza AyoTV katika exclusive interview ni Rapper gani anayemuelewa zaidi kwenye game kwa sasa ambapo alimtaja Dogojanja. GK ameiambia AyoTV kuwa anafurahishwa na kazi za Dogojanja na jinsi anavyoweza kubadilisha style za kuimba.

Dogojanja ni rapper, lakini angalia kwenye kidebe alichokifanya mimi mwenyewe ame ni suprise unajua, anarap yuko flexible anaimba unajua,thats music, muziki kama kuogelea unajua eh”…

UNAWEZA KUICHEKI VIDEO HAPA CHINI MTU WANGU>>>

KAMA ULIMISS ALICHOKISEMA AY KUHUSU MENO YAKE YA GOLD>>>

 

Tupia Comments

Advertisement