PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Michezo

UEFA Champions League 2018/19 ndio inarejea leo

on

Kama ni shabiki wa soka hususani la Ulaya naomba nikujulishe kuwa burudani ya kihistoria ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2018/19 inaanza leo katika viwanja mbalimbali barani Ulaya.

UEFA Champions League msimu wa 2018/2019 inaanza usiku wa leo September 18 kwa michezo nane kuchezwa, kama ni shabiki wa soka na unafuatilia Champions League hii ndio michezo itakayochezwa Jumanne na Jumatano ya September 19 2018.

Game zitakazochezwa Jumanne ya September 18 2018.

Game zitakazochezwa Jumatano ya September 19 2018.

EXCLUSIVE: Licha ya kuwa na pesa na ustaa, hii ndio Sababu inayomfanya Samatta asiringe

Soma na hizi

Tupia Comments