Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 5: Simba walivyoondoka kuelekea Nairobi kwenye Super Cup

on

Kikosi cha Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018 wekundu wa Msimbazi Simba SC leo May 31 2018 wamekwea pipa kuelekea Nairobi kwa ajili ya michuano ya SportPesa Super Cup.

Simba wameondoka kuelekea Nairobi wakiwa na wachezaji wao wa kikosi cha kwanza kama Aishi Manula, Shomari Kapombena Erasto Nyoni kitu ambacho kinaonesha kuwa wamedhamiria kutwaa Ubingwa huo.

Kwa upande wa michuano hiyo itaanza June 3 2018 nakumalizika June 10 2018 ikishirikisha jumla ya timu nane Simba wao wakiwa Kundi B lenye timu za Singida United, K.Sharks na AFC Leopards.

Samatta na Omar Colley wameenda Macca

Soma na hizi

Tupia Comments