PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Michezo

Watanzania 15 walioshinda mamilioni kwa jero tu

on

Moja kati ya habari kubwa kwa leo iliyochukua headlines ni pamoja na habari ya watanzania 15 ambao wameshinda JackPot ya Premier Bet kwa kufanikiwa kutabiri michezo yote ya wiki kwa ufasaha.

JackPot ya Premier Bet wiki iliyopita ilikuwa na milioni 74 hivyo kutokana na washindi kupatikana watu 15 waliotabiri game hizo kwa ufasaha, imelazimika kwa washindi hao kugawana pesa hizo.

Baada ya kupiga mgao kila mshindi alifanikiwa kuondoka na Tsh milioni tano laki mbili na tisini (Tsh 5290,000), washindi hao walifanikiwa kukabidhiwa pesa zao mbele ya waandishi wa habari, premier bet unaweza kubashiri kuanzia Tsh 500.

“Simba tumewaachia, sisi hatuna presha”-Kocha wa Yanga

Soma na hizi

Tupia Comments