PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

AyoTV

VIDEO: Mashabiki wa soka Escape One wakishuhudia Ufaransa ikitwaa Ubingwa World Cup

on

Mshabiki wa soka mbalimbali Jumapili ya July 15 2018 walikusanyika Escape One Mikocheni kufuatilia fainali ya Kombe la Dunia kati ya Ufaransa dhidi ya Croatia, miongoni mwa watu waliojitokeza ni Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Mara Agness Marwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu Hudsom Kamoga.

Haji Manara kaeleza sababu za kuwasajili Wawa, Dida na Kagere

Soma na hizi

Tupia Comments