AyoTV

Billnass amemtaja aliyeamua game ya Liverpool na Madrid “Mpira fitna”

on

Real Madrid wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Liverpool na kufanikiwa kutetea taji lao la UEFA Champions League kwa mara ya tatu mfululizo, magoli ya Real Madridi yalifungwa na Karim Benzema dakika ya 51 na Gareth Bale aliyefunga magoli mawili dakika ya  64 na 83, goli pekee la Liverpool lilifungwa na Sadio Mane dakika ya 55, msanii Billnass baada ya game yeye alizungumzia game hiyo kama shabiki wa Real Madrid.

VIDEO: Ukimuuliza John Bocco ana-miss nini Azam FC atakujibu hivi

Soma na hizi

Tupia Comments