Michezo

Mapokezi ya Simba SC Airport DSM wakitokea Swaziland

on

Club ya wekundu wa Msimbazi Simba SC wamerejea Dar es salaam kutokea Swaziland walipokuwa wanaenda kucheza dhidi ya Mbabane Swallows mchezo wa marudiano mjini Mbabane na kumalizika kwa Simba SC kupata ushindi wa magoli 4-0 baada ya Dar es Salaam kupata ushindi wa 4-1.

Hivyo Simba SC wamefuzu kucheza round ya kwanza kwa kuitoa Mbabane kwa jumla ya magoli 8-1, sasa watacheza dhidi ya Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa round ya kwanza, unaweza kutazama walivyopokewa leo wakiwasili kutokea Mbabane.

MO Dewji alivyojitokeza Taifa kwa mara ya kwanza baada ya siku 49 toka atekwe

Soma na hizi

Tupia Comments