Premier Bet

Top Stories

Maamuzi Mapya ya Meya DSM kuhusu Machinga Complex

on

Leo August 25 2017, Meya wa jiji la Dar es salaam Isaya Mwita amekutana na waandishi wa habari kuzungumzia ishu ya jengo la Machinga Complex akisema kuwa Halmashauri italikabidhi jengo hilo kwa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).

Lengo la makabidhiano hayo ni kutaka NSSF iendeshe na kurejesha fedha zilizotolewa na mfuko huo kama mkopo wa halmashauri ya jiji kwa ajili ya ujenzi wa jengo hilo ambapo halmashauri iliingia mkataba wa mkopo wa Shilingi bilioni 10 kwa ajili ya shughuli hiyo ya ujenzi.

Gari la kubebea miili ya marehemu waliokosa ndugu DSM lililozinduliwa…

KIGOGO WA ZAMANI TRA ALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO…

Soma na hizi

Tupia Comments