Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Baada ya kutafakari kitendo cha Mose Iyobo kumuita Nyani, Harmorapa ametoa kauli hii mpya

on

Harmorapa ni msanii wa bongofleva aliyeibuka juzi baada ya kutoa wimbo mpya ulioambatana na habari zake za kufananishwa na msanii wa WCB Harmonize ambapo ameingia kwenye headlines za kurushiana maneno na Dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo baada ya dancer huyo kumfananisha na Nyani.

Kwenye hii video hapa chini Harmorapa ametoa kauli yake mpya baada ya kukaa na kutafakari kauli ya Mose Iyobo, tazama kwenye hii video hapa chini.

ULIPITWA? Tazama kwenye hii video hapa chini Harmorapa kaongea ukweli kuhusu Undugu na Harmonize, Wolper wake na mengine.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement