Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

PICHA 9: Kutoka katika ibada ya kuaga mwili wa mke wa Kingunge leo DSM

on

Leo January 11, 2018 Ayo TV na millardayo.com imehudhuria ibada ya kumuaga mke wa Mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru, Peras Ngombale Mwiru ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria.

Baadhi ya viongozi hao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, Spika wa Bunge Mstaafu Mama Anne Makinda na wengineo.

 

MAHAKAMANI: Maagizo waliyopewa TAKUKURU kuhusu kesi ya Malinzi

Kichanga cha miezi miwili chapotea kiutata, anayedaiwa ataka yai iliamrudishe

Soma na hizi

Tupia Comments