Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

AUDIO: Mtoto wa shule alivyofumaniwa na baba wa zaidi wa miaka 60 Tanga

on

August 29 2016 Kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea Hekaheka iliyotokea Tanga ambapo mzee mmoja kafumaniwa na mkewe akiwa na mtoto wa shule wa miaka 14, kama hukupata time ya kuisikiliza hii usijali millardayo.com imekurekodia full stori kutoka kwenye Hekaheka ya leo.

Mjomba wa mtoto ameeleza kuwa mtoto amekuwa akijiandaa asubuhi na mapema sana na anaaga anaenda shule lakini anapitia kwa huyo mzee na baadaye muda wa saa moja anaenda shule……

>>>’mahusiano yameanza tangia January, mpaka sasa hivi ni mwezi wa nane na sisi mpaka tumekuja kugundua ni baada ya kutokea ugomvi, mke wake yule mzee amempiga na kumng’ata mtoto ameumia na sisi ndio tukajua hilo suala’:-Mjomba wa mtoto

>>>’mtoto wangu ana miaka kumi na nne na mzee huyo ana kama 60 mpaka 70 maana ni babu kabisa, sisi tulikuwa tunajua anaenda shule na alikuwa anamuaga bibi yake maana anakaa na bibi yake kwamba wanatakiwa kuwahi namba kumbe asubuhi anaanza kwanza kwa huyo baba’:-Mama wa mtoto

>>>jumatano asubuhi walipokutana na huyo baba kupewa hela mara mke wa huyo baba akatokea akaanza kumshambulia na kumng’ata’:Mama wa mtoto

STORI KAMILI BONYEZA PLAY HAPA CHINI NIMEKUWEKEA…

 
ULIKOSA FIESTA YA KAHAMA 2016….UWEZO ULIOONYESHWA KWENYE STAGE? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement