Tangaza Hapa Ad

Top Stories

AUDIO: Majibu ya CCM kuhusu Moses Machali kutangaza kujiunga nao

on

Masaa machache baada ya Mbunge wa zamani wa Kasulu Mjini Moses Machali kutoa taarifa ya kuhusu kuunga mkono serikali ya awamu ya tano na utendaji kazi wake, millardayo.com imempata msemaji wa chama cha mapinduzi CCM, Ole Sendeka ambaye ametoa ufafanuzi wa taarifa hizo.

“Jambo la kwanza ni baada ya mimi kusoma kwenye mitandao ya kijamii na wewe ulivyonipigia hivi ilibidi niwasiliane naye kwanza ili kujua ukweli wa jambo hilo. Ni kweli amenithibitishia kwamba hayo yaliyoko kwenye mitandao ni yake na amehiyari kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na utendaji wa Rais Magufuli” Ole Sendeka.

VIDEO: Yapo hapa majibu ya CCM kuhusu Mose Machali kutangazaji kujiunga na CCM. Bonyeza play hapa chini.

VIDEO: ACT Wazalendo wametoa ufafanuzi wa Moses Machali kuhusu kuhamia CCM. Bomyeza Play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement