Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

“Sitaki anitumie 2020, nimeona madhara ya kutumika kwenye kampeni”-Ray

on

Kama utakuwa unakumbuka vizuri mwaka 2015 wasanii wa Filamu na Bongofleva walitumika katika kampeni za kisiasa kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM lakini hivi karibuni Katibu mkuu wa CCM DR Bashiru alitangaza kuwa CCM haitowatumia tena wasanii katika kampeni 2020.

Baada ya kusema hivyo leo nimempata katika exclusive interview Ray Kigosi ambaye ni moja kati ya wasanii walioipigia kampeni CCM mwaka 2015, yeye vipi amelipokeaje hilo wazo la Dr Bashiru kuwa hawatowatumia tena wasanii katika kampeni 2020.
“Kila kiongozi anayekuja katika madaraka anakuwa na utashi wake, sawa na Mh Rais Magufuli amekuja na serikali ya viwanja Rais Kikwete yeye ilikuwa kilimo kwanza, kimsingi katibu alichokizungumza yeye yuko sawa tusubiri tuone kama wasanii hawatotumika 2020”>>>Ray


JB na Ray “Hata Yanga wao wanajua Simba ana timu bora”

Soma na hizi

Tupia Comments