Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Alichozungumza Juma Mahadhi baada ya kuifungia Yanga vs St Louis leo

on

Club ya Yanga leo imecheza mchezo wake wa kwanza wa round ya kwanza wa club Bingwa Afrika dhidi ya St Louis ya Ushelisheli uwanja wa Taifa Dar es SalaamYanga wamefanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Juma Mahadhi dakika ya 67 ikiwa ni dakika moja imepita toka aingie akitokea benchi.

Baada ya game kumalizika AyoTV iliongea na Juma Mahadhi na kueleza namna alivyopewa maagizo na kocha “Ni maelekezo tu ya mwalimu kitu alichokuwa kaona ni nafasi tulizokuwa tunapata tulikuwa tunashindwa kuzitumia ndio hayo maelekezo aliyonipa nikaenda kufanya yale aliyonielekeza”

VIDEO: Goli la Juma Mahadhi lililoikosoa Yanga vs St Louis uwanja wa Taifa

Soma na hizi

Tupia Comments