Michezo

JB na Ray “Hata Yanga wao wanajua Simba ana timu bora”

on

Jumapili ya September 30 2018 ndio mchezo wa watani wa jadi wa Simba na Yanga wa Ligi Kuu Tanzania bara round ya kwanza utachezwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam, kila shabiki anajitamba kuwa timu yake itafanya vizuri.

Kuelekea game hiyo AyoTV imepata tambo za waigizaji JB ambaye ni shabiki wa Simba na Ray Kigosi ambaye ni shabiki wa Yanga na kuanza tambo zao kuhusiana na timu zao kabla ya September 30 2018.

Bonyeza PLAY kutazama tambo za JB na Ray

EXCLUSIVE: Licha ya kuwa na pesa na ustaa, hii ndio Sababu inayomfanya Samatta asiringe

Soma na hizi

Tupia Comments