Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

VIDEO: Kivutio kinachoongoza kuingiza pesa nyingi Misri

on

Kwa mujibu wa utafiti wa World Travel & Tourism Council (WTTC) utalii unaiingizia Misri mapato ya Egyptian Pound Bilioni 528.7 ambazo ni zaidi ya Tsh tirilioni 73 sawa na asilimia 11.9 ya GDP.

Tukiwa Bado Cairo Misri, Ayo TV ilipata nafasi ya kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii nchini Humo, moja kati ya vivutio vya utalii wa Misri ni pamoja na Pyramids ambazo zimetengenezwa zaidi ya miaka elfu 4 iliyopita.

VIDEO: Mtangazaji wa Ennahar TV amwaga machozi Algeria ikitinga nusu fainali AFCON

Soma na hizi

Tupia Comments