DSTV


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Shetta amefunguka kuhusu mtoto wake wa pili

on

Baada ya romours za chini kwa chini kuwa msanii wa Bongofleva Shetta hayuko sawa na mke wake mama Qayllah kiasi cha kudaiwa kuwa mtoto wake wa pili amezaa nje ya ndoa, leo kwenye XXL ya Clouds FM Shetta amefunguka na kueleza kuwa mtoto wake wa pili (Qamrah) amezaa na mama Qayllah.

Diamond na Zari kinaendelea nini?

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement