Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Goli la Yanga VPL lililopatikana baada ya kucheza dakika 225 bila kufunga

on

Yanga leo alicheza game yake ya tatu ya Ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting akiwa kacheza game mbili za mwisho VPL bila kupata goli, hivyo ushindi wa goli 1-0 walilopata Yanga dakika ya 45 ya mchezo leo, linakuwa ni goli la kwanza kwa Yanga kushinda katika VPL baada ya kucheza kwa dakika 225 bila kufunga.

VIDEO: Simba ilivyoiadhibu Singida United 4-0 leo, magoli yote yapo hapa

Soma na hizi

Tupia Comments