PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

Ice Boy kafunguka sababu ya kushindwa kuendelea kufanya kazi na Barnaba

on

Msanii wa Bongo Fleva Ice Boy amefunguka kwenye Exclusive Interview na Ayo Tv kuwa kwa sasa ameachana na management aliyokuwa akifanya nayo kazi “High Table Sound” iliyokuwa chini ya Barnaba.

Bonyeza PLAY kuona Ice Boy akielezea mwanzo mwisho wa changamoto alizozipata kwenye management hiyo mpaka kuhama pamoja na management yake mpya.

Waandaaji wametaja sababu za kumpa Florida Venance ushindi wa Miss Rukwa 2018

 

Soma na hizi

Tupia Comments