AyoTV

Agizo la Kigwangalla baada ya kufanya ziara ya kushtukiza bandarini

on

December 2, 2017 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, alifanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam ambapo ameagiza Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii atangaze kujitokeza kwa wamiliki wa magogo 938 yaliyokaa bandarini kwa zaidi ya miaka 10. Kama wamiliki wasipojitokeza, magogo hayo yatakuwa mali ya Serikali

Nassari asimulia alivyokimbia baada ya kuvamiwa na Risasi nyumbani

Soma na hizi

Tupia Comments