Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Video: Dogo Janja anatarajia kufanya collabo nyingine East Africa

on

Hit Maker wa Mdundo wa Kidebe na My Life Dogo Janja amewekaa wazi mipango yake mingine baada ya kufanya collabo na wakali kutoka Uganda Radio na Weasel, Dogo Janja ametangaza kuingia studio na mkali mwingine kutoka Kenya Prezzo

Watu wangu watarajie kuona collabo yangu na mkali mwingine kutoka Kenya nina collabo na Prezo kuna ambayo mimi nimemshirikisha yeye na nyingine nimeshirikishwa na Prezo unaweza ukaona ni jinsi gani sana yangu inavyovuka mipakaDogo Janja

ULIMISS HII YA MO MUSIC  ANAMUANGALIA NANI KAMA ROLE MODEL WAKE KWA BONGO ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement