HekaHeka

HEKAHEKA: Mwanamke anusurika kifo akidaiwa kumuua mumewe

on

Hekaheka ya leo September 25, 2017 kwenye Leo Tena ya Clouds FM inahusu mama mmoja huko Tabora ambaye amepigwa na wanakijiji wenzake waliomtuhumu kuwa mchawi na hata kumuua mume wake.

Baada ya mume wake kufariki, wanakijiji walisema kwamba mama huyo ni mchawi na ni muhusika mkuu alishiriki kumuuwa mume wake, na hivyo kusababisha mama huyo kuchukuliwa na watu wasiojulikana kumpiga na kutaka kumchoma moto na kumtaka ataje watu alioshirikiana nao.

Ulipitwa na hii? HEKAHEKA: Kamshika Komba, akafunikwa kwenye nyungu na Mganga

Soma na hizi

Tupia Comments