Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Kauli ya BAVICHA baada ya Naibu Katibu Mkuu kujiuzulu

on

Leo March 12, 2018 Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha)  limezungumzia kuhusu ishu ya kujiuzulu kwa Naibu Katibu Mkuu wake, Gertrude Ndibalema.

Akizungumza na AyoTV na millardayo.com Katibu Mkuu wa BAVICHA, Julius Mwita amesema taarifa hizo ameziona kwenye mitandao kama watu wengine walivyoziona.

“Kama mlivyoona hiyo taarifa imeandikwa taarifa kwa umma na mimi nmeisoma kama sehemu ya umma, akiutaarifu umma kuwa anajiuzulu nafasi yake ili aweze kupata fursa ya kufanya shughuli zake za kitaaluma” -Mwita

Kauli ya Kwanza baada ya Kujivua unaibu Katibu Mkuu BAVICHA.. Anakwenda wapi?

 

Soma na hizi

Tupia Comments