Michezo

Kuelekea wiki ya Reha FC kesho August 11 uwanja wa Bandari

on

Club ya Reha FC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza msimu wa 2018/19, imeandaa wiki ya Reha FC na kuvialika vilabu vya Ligi Kuu kama sehemu ya kusherehekea wiki ya Reha FC.

Vilabu vya Ligi Kuu vilivyopata nafasi ni pamoja na KMC ya Kinondoni, Mtibwa Sugar ya Morogoro pamoja na ambao vilabu vyote vitaitumia michezo hiyo kama sehemu ya maandalizi, michezo hiyo itachezwa uwanja wa Bandari August 11 na 12 2018.

Msemaji wa KMC Anwar Binde >>>“Sisi kama KMC kwanza tunawapongeza Reha FC kwa kuandaa Reha Week of Service ni muhimu kwa timu na kwa jamii kwa ujumla,ย Sisi tuko tayari na timu inaendelea vizuri na maandalizi yake ya msimu mpya wa VPL na bonanza hili tutalitumia kama sehemu ya maandalizi ya ligi kuu msimu ujao”

“Nimeenda chumbani kwa Canavaro, alichonijibu SINTOSAHAU”-Edo Kumwembe

Soma na hizi

Tupia Comments