AyoTV

Salum Mayanga dakika chache kabla ya Taifa Stars kwenda Algeria

on

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Salum Mayanga alikubali kuongea na waandishi wa habari dakika chache kabla ya timu ya taifa kukwea pipa kuelekea Algeria inakokwenda kucheza mchezo wa kirafiki uliyopo katika kalenda ya FIFA dhidi ya Algeria.

Salum Mayanga ameelezea mambo mbalimbali ikiwemo maandalizi ya game zake mbili za kirafiki anazotegemea kucheza dhidi ya Algeria na baadae Congo DRC kabla ya kuelekea Cape Verde kucheza mchezo wake wa kuwania kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika AFCON 2019.

Hivi ndio Simba walivyotoka sare ya 2-2 dhidi ya Al Masry

Soma na hizi

Tupia Comments