Video Mpya

VideoMPYA: Zawadi ya Valentine kutoka kwa Abdukiba anakuambia “Mubashara”

on

Kutokea kwenye Record label ya Kings Music Records  February 14,2019 siku ya wapendanao duniani Abdukiba ameamua kuidondosha hii special kwaajili ya wapendanao inaitwa ‘Mubashara’, fanya kubonyeza PLAY ili kuburudisha siku yako na ngoma hiyo.

“VALENTINE’S HAIWAHUSU WASIO OA AU KUOLEWA, ALIKUFA MTU” MTAALAM

Soma na hizi

Tupia Comments