Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Makocha 6 wanaowania tuzo ya Kocha bora EPL msimu wa 2017/2018

on

Ikiwa zimesalia mechi chache kumalizika kwa msimu wa 2017/2018 wa Ligi Kuu England, leo imetoka list ya makocha sita wanaowania tuzo ya kocha bora wa msimu wa 2017/2018 wa Ligi Kuu England.

List hiyo imetajwa na makocha sita wakiongozwa na kocha Pep Guardiola aliyeipa Ubingwa Man City, Rafael Benitez wa club ya Newcastle United, Sean Dyche wa club ya Burnley.

Makocha wengine waliotajwa ni pamoja na Roy Hogson aliyeisaidia Crystal Palace katika janga la kushuka daraja baada ya kujiunga nayo katikati ya msimu, Jurgen Klopp wa Liverpool na Chris Hughton wa Brighton.

VIDEO: Mbwembwe za Haji Manara uwanjani baada ya ushindi wa Simba vs Yanga

Soma na hizi

Tupia Comments