Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO:Machache ambayo watu wengi huvutiwa kuyaona wakifika Johanesburg

on

Katika nchi za Afrika ambazo zimepiga hatua kubwa kimaendeleo, Afrika ya kusini ni mojawapo. Ikiwa katika listi ya nchi zilizoendelea, na sio zinazoendelea kama nchi nyingine nyingi za Afrika.

Millardayo.com imekutana na moja kati ya wenyeji wa jiji hili na ametueleza ni vitu gani haswa ambavyo watalii wanapokuja Johanesburg huwa wanapendelea kufanya ama kuviona.

Ameitaja sanamu ya Nelson Mandela, pia mji wa Sandton ambapo matajiri wengi ndipo wanapoishi

‘Beauty of Jo’burg, and then you know we’ve got the big statue of the old man, Nelson Mandela in Sandton squire..they come to see the beauty of Sandton because sandton is the richest city in South Africa..

Unaweza kubonyeza play hapa chini ili kuweza kutazama

BAADA YA KUACHIA MDUNDO MPYA HAYA NDIO MAELEZO YA MATONYA, UNAWEZA KUBONYEZA HAPA KUANGALIA>>>

Tupia Comments

Advertisement