Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

HD: JPM alivyotangaza kuwasamehe Babu Seya na Papi Kocha

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli December 9 2017 kwenye sherehe za miaka 56 ya Uhuru ametangaza kuwasamehe Wafungwa mbalimbali ambapo msamaha huo pia umepita kwa Wanamuziki waliohukumiwa jela maisha mwaka 2004, Babu Seya na Papi Kocha… tazama hii video hapa chini kuona akitangaza

VIDEO ILIYONASA BABU SEYA NA PAPI KOCHA WAKITOKA GEREZANI UKONGA BAADA YA KUSAMEHEWA NA RAIS MAGUFULI

BABU SEYA NA PAPI KOCHA WALIVYOMFATA MCHUNGAJI BAADA TU YA KUTOKA GEREZANI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUWATAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments