Tangaza Hapa Ad

Mix

VIDEO: Rais Magufuli akiongelea ishu ya dawa za kulevya iliyoibuka na watu maarufu

on

Ishu kubwa sasa hivi Dar es salaam ni ishu ya dawa za kulevya ambapo baadhi ya watu maarufu wa Tanzania wameshikiliwa Polisi kwa tuhuma hizo, leo February 5 2017 Rais Magufuli ameiongelea hiyo ishu IKULU akiapisha mkuu mpya wa Majeshi, tazama kwenye hii video hapa chini…

VIDEO: Wema Sepetu, T.I.D na wengine walivyoingia Polisi kutii wito wa Paul Makonda kwenye list ya ishu ya dawa za kulevya

FULL VIDEO: Mkuu wa Polisi Tanzania aongelea ishu ya dawa za kulevya iliyoibuka, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement