Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Rais Museveni kumtembelea Magufuli Chato kesho

on

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni kesho Jumamosi July 13, 2019 atafanya Ziara Binafsi ya siku 1 moja hapa nchini.

Rais Museveni atamtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Mlimani katika Wilaya ya Chato Mkoani Geita.

Akiwa Chato, Rais Museveni atafanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Magufuli.

LUGOLA “NIKUMBATIENI MIMI NI JEMBE ULAYA, NITALITUMIA JEMBE HILI”

Soma na hizi

Tupia Comments