Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 10: Ilivyokuwa kwenye tukio la kupatwa kwa jua Mbarali Mbeya

on

September 1 2016 tukio la kupatwa kwa jua limetokea katika Kijiji cha Rujewa, Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya ambapo lilianza majira ya saa 4: 20 hadi saa 7:25.

Unaambiwa wanataaluma wa anga kutoka duniani kote pamoja na wanasayansi, wanafunzi pamoja na jamii ya Tanzania walikuwa Rujewa, kusini mwa Tanzania, kushuhudia duara la Jua linavyobadilika kuwa mithili ya pete.

2X6A6650 ONE_0050 2X6A6625 ONE_0082
 ONE_0120 ONE_0121 2X6A6592 2X6A6609 2X6A6610 2X6A6612
ULIKOSA HII YA JOHARI KUHUSU KUGOMBEA UBUNGE 2020? BONYEZA PLAY HAPA CHINI
4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement