Top Stories

“Hatuwezi kuwa na mpango wa namna hii” –Prof Tibaijuka

on

Hii ni kutokea Bungeni Dodoma May 16, 2018 ambapo Wabunge wameendelea kuchangia mapendekezo yao katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo ambapo miongoni mwa waliopata nafasi ni pamoja na Mbunge wa Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka ambaye ameitaka Serikali kutumia mawazo ya kisasa kama kama inahitaji kuboresha sekta hiyo na kuwasaidia Watanzania.

Prof Tibaijuka amesema…>>>“Hali ya kilimo katika jimbo langu ni taabani, taabani kabisa ukweli ndio huo. Tukiendelea hivi bila kuleta mawazo ya kisasa kwa ajili ya kuleta mapinduzi ya kilimo tutaendelea kutaabika

Frank aliyenasishwa kiroba cha mahindi ameachiwa huru na Mahakama

Soma na hizi

Tupia Comments