Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Mbunge Kangi Lugola aliwafatilia Trump na Hillary, kayatoa maoni yake

on

Baada ya Donald Trump kutangazwa mshindi wa Urais Marekani kila mtu amezungumza ya kwake, wapo wanaokubaliana na matokeo lakini pia wapo wasiokua wanamtaka na wamehuzunishwa na Hillary Clinton kushindwa.

Ayo TV na millardayo.com imekutana na mwanasiasa mkongwe wa Tanzania Kangi Lugola ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mwibara kupitia CCM na ameweka wazi kuwa alitaka Hillary Clinton ashinde, tazama yote aliyosema kwenye hii video hapa chini

ULIKOSA HII YA KANGI LUGOLA KWA WAZIRI WA FEDHA KWENYE UTUMBUAJI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement