Videos

Siku yako haijaenda poa leo..? Hapa ni lazima ucheke….(+VIDEO)

on

Inawezekana siku yako haijawa poa sana leo, basi chukua time hii kuirejesha furaha kwa kucheka na vituko vya mchekeshaji kutokea Uganda Anne Kansiime.

Uwezo mkubwa alionao Kansiime katika uchekeshaji ndio unaochangia kujikusanyia mashabiki katika kona mbalimbali za dunia, Hii ni moja ya kazi zake waweza kuitazama na ukafurahia muda wako..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments