Fastjet
Serengeti Baloziz
NMB Account
BritishC-English
Home » Vituko/Comedy » Pale mtoto wa miaka miwili alipojitokeza mbele ya zaidi ya watu 50 na kufanya yake.

Pale mtoto wa miaka miwili alipojitokeza mbele ya zaidi ya watu 50 na kufanya yake.

Screen Shot 2014-05-02 at 3.17.31 AMMara nyingi inatokea kwenye matukio ya kawaida tu lakini kinachofanya iwe stori ni umri mdogo alionao mtoto alafu akafanya vitu vinavyofanywa na Wazazi wake au wengine waliomzidi umri kwa urefu mwingi.

Hii ilitokea baada ya mtoto William Stokkebroe kuona wazazi wake na dancers wakifanya yao kisha na yeye bila aibu wala woga akaingia kwenye dancing floor.

MAONI
SHARE
Tags :
Previous post link
Next post link
Scroll To Top