PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Michezo

Kiasi walichotenga Juventus kumuhamisha Ronaldo Real Madrid

on

Presha ya staa wa kimataifa wa Ureno anayeichezea club ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo bado inazidi kutanda kwa mashabiki kutaka kujua hasa staa huyo msimu ujao atacheza club gani kati ya Real Madrid, Juventus au PSG.

July 3 2018 iliripotiwa taarifa kuwa club ya Real Madrid imeruhusu Ronaldo ajiunge na Juventus ila leo July 4 2018 zimeripotiwa taarifa kuwa club ya Juventus baada ya Real Madrid kukubali Ronaldo aondoke wametuma ofa.

Juventus wametuma ofa ya kwanza kwa Real Madrid ya pound milioni 88 kwa Real Madrid kwa ajili ya kuishawishi club hiyo kumuacha Ronaldo ajiunge nao, taarifa zilizoripotiwa leo  ni kuwa Real Madrid wanaijadili ofa hiyo.

Haji Manara kapenda usiku wa VPL ila kafunguka wasiwasi wake

Soma na hizi

Tupia Comments