Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Kampeni ya Chanjo ya Ebola kuanza leo DRC

on

Leo May 21, 2018 Kampeni ya chanjo dhidi ya homa ya Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo itaanza hii leo.

China imesema kuwa iko tayari kutuma wataalamu wake nchini DR Congo kusaidia kukabiliana na homa ya Ebola.

Idadi ya watu amabo wamefariki kutokana na ugonjwa huo imefikia 26 huku visa kadhaa vikiripotiwa katika maeneo tofauti nchini humo.

Rais wa DR Congo, Joseph Kabila alifanya mkutano na baraza lake la mawaziri hapo jana kuhusu hali ya Ebola nchini humo.

MAGAZETI: Moto waanza kuwaka kiti cha Mbowe CHADEMA, Ni zamu ya Dk. Kigwangalla

Soma na hizi

Tupia Comments