Tangaza Hapa Ad

Mix

Ufafanuzi kuhusu taarifa za muswada wa kuondoa posho za watumishi wa umma

on

Baada ya taarifa kuenea kwamba serikali ina mpango wa kuwasilisha muswada Bungeni utakaowabana watumishi wa umma kwa kupunguza matumizi mbalimbali ya mashirika ya umma ikiwemo kuondoa posho za watumishi wa Umma.

Leo November 8 2016 Serikali imetoa tamko lake kupitia akaunti yake rasmi ya  twitter ya msemaji wa Serikali kuwa taarifa hizo si za kweli hivy zipuuzwa.

KAMA HUJAPATA NAFASI YA KUPITIA KUBWA ZA LEO KWENYE MAGAZETI YA TANZANIA, UNAGANA NA ALICE TUPA WA AYO TV KWENYE VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement