Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Unga umekutwa kwenye bahasha katika Familia ya Donald Trump Jr

on

Kutoka nchini Marekani, mkwe wa Rais wa nchi hiyo Donald Trump, Vanessa Trump ilibidi akimbizwe hospitali February 12, 2018 kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa usalama wa afya yake.

Vanessa ambaye ni mke wa mtoto wa Rais Trump, Donald Trump Jr alipelekwa hospitali baada ya kupokea barua ambayo ililengwa kwenda kwa mumewe, na kuikuta ikiwa na unga, jambo walilohisi kuwa tishio kwa usalama wake.

Hata hivyo baada ya kufanyiwa utafiti kama unga ule ulikuwa na sumu yoyote, hakuna sumu yoyote iliyokutwa kwenye unga huo wa mahindi na wala hakukuwa na hatari yoyote iliyokuwa imempata Vanessa. Jambo hili limetafsiriwa kama la kitisho tu kwa familia hiyo.

Aliyoyabaini Naibu Waziri wa Maji katika ziara aliyoifanya DSM

“Sijawahi na sitakaa nishirikiane na Diwani na Mbunge wa CHADEMA, Full Stop” RC Mnyeti

Soma na hizi

Tupia Comments