Biko


Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 14: Mapokezi ya Kilimanjaro Queens Airport DSM

on

Timu ya taifa ya Tanzania bara ya wanawake The Kilimanjaro Queens ambao ndio Mabingwa wa kwanza wa kihistoria michuano ya Kombe la CECAFA Challenge, wamewasili Dar es Salaam na kombe lao la Ubingwa wa CECAFA.

dsc_3946

The Kilimanjaro Queens ambao walikuwa wakishiriki michuano hiyo ya Challenge katika mji wa Jinja Uganda wamewasili Tanzania wakiwa na Kombe lao la Ubingwa wa CECAFA walilotwaa baada ya kuifunga timu ya taifa ya Kenya ya wanawake Harambee Starlets kwa goli 2-1.

dsc_3936

dsc_3925

img-20160922-wa0077

img-20160922-wa0074

dsc_3968

dsc_3986

dsc_3987

img-20160922-wa0073

dsc_3949

dsc_3960

dsc_3963

dsc_3965

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement