Tangaza Hapa Ad

fB insta twitter

HEKAHEKA: Ufafanuzi wa Daktari kuhusu mtu mwenye jinsia mbili

on

Jana November 29 2016 kwenye Leo Tena ya Clouds FM  Geah Habib alileta hekaheka ya mtu mwenye jinsia mbili ambaye alikuwa anaomba msaada wa kuondoa moja. Mtu huyo alisema toka akiwa mdogo amekuwa akiishi maisha kama mwanaume lakini mama yake alimwambia aishi kama mwanamke kutokana na hali za kike ambazo zilikuwa zikimtokea lakini yeye anasema hapendi kuishi kama mwanamke.

Hekaheka ya leo umekuwa ni muendelezo wa jana ambapo Geah Habibu amezungumza na Dk. Isaac Maro kuhusu uwezekano wa kuondoa jinsia moja………

>>>’Si rahisi sana kubadilisha hali hii kurudi kwenye hali ya kawaida kwenye nchi zetu kwa sababu ni gharama kubwa sana lakini kuna uwezekano wa kufanya upasuaji wa kuweka ule muonekano ambao mtu mwenyewe anautaka kama ameridhia’

Kusikiliza full stori, Bonyeza play hapa chini

VIDEO: Ugonjwa wenye kuambukiza kama ukimwi kila kwenye watu 8 kati 100 wanao, Bonyeza play hapa chini Kutazama

VIDEO: Mawaziri wawili wa JPM kuhusu matumizi ya mkaa, Unaweza kuangalia video hii hapa chini

Tupia Comments

Advertisement