AyoTV

Imeshinda Simba SC tabu kaipata JB wakati wa kutoka

on

Muigizaji Jacob Steven maarufu kama JB alikuwa sehemu ya watazamaji wa game ya Simba SC dhidi ya Al Ahly ambayo ilimalizika kwa Simba kupata ushindi wa goli 1-0, goli likifungwa na Meddie Kagere dakika ya 65, baada ya game hiyo JB ambaye ni shabiki wa Simba alikutana na mashabiki wa Simba ambao walimzonga na kuanza kushangilia nae kiasi cha kushindwa kufanya mahojiano.

“Tunashindana na timu zenye nguvu, aliyetoa assist Alexandria kanunuliwa Bilioni 10”-MO Dewji

Soma na hizi

Tupia Comments