Tangaza Hapa Ad

Mix

‘Lavy product ya kucha ipo kwenye mikono salama’ – Dr. Kigwangalla

on

Naibu waziri wa afya Dr. Hamis Kigwangalla leo January 16 2017 Dar es salaam alitoa baraka zake kwa Lavy Product inayosambaza bidhaa za rangi za kucha ikiwa ni kampuni inayomilikiwa na Mwanamitindo Mtanzania Flaviana Matata ambaye anaishi na kufanya kazi New York Marekani.

Flaviana Matata yuko Dar es salaam kwa likizo na ameamua kutumia time yake kuzungumza na kutoa semina kwa watengeneza kucha kutoka takriban Saluni 50 za kike Dar es salaam ambazo zinatumia bidhaa za Lavy.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement