MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Behind The Scene, Linah hatamsahau huyu mbwa wakiwa location

on

Video ya wimbo wa ‘Raha jipe mwenyewe’ ya Linah ilikuwa na mambo mengi wakati wa uandaaji wake, na kama utakumbuka pia zilisambaa picha zikimuonyesha akiwa kitandani na Idriss Sultan hali ambayo iliyosababisha maneno mengi sana kwenye mitandao ya kijamii bila kufahamu picha hizo zilipigwa wakati wa ku shoot video hii.

Nimekusogezea video ya Behind the scene ya utengenezwaji wa video hiyo ambayo kuna wakati Linah alipata shida sana kukimbizana na mbwa mdogo ambaye pia alikuwa location.

VIDEO:Maneno ya Miss Tanzania 2016 kabla ya kwenda Marekani>>>

Soma na hizi

Tupia Comments