Top Stories

Mbunge aliyemwaga machozi Bungeni “wamekufa Wabunge mashahidi”

on

Wabunge wameendelea kuchangia mapendekezo yao katika hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha 2018/19 iliyowasilishwa bungeni na Waziri wake Dr Charles Tizeba ambapo miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi hiyo ni pamoja na Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Msongozi ambaye alilieleza Bunge kuhusu Serikali kushindwa kuwalipa stahiki zao baadhi ya mawakala wa kilimo na kuwasababishia kupoteza maisha. Full video nimekuwekea hapa chini….

Majibu ya Serikali kuhusu kuwabagua wanafunzi kwenye mikopo

Soma na hizi

Tupia Comments