Tangaza Hapa Ad

TBT

TBT: Picha za Lionel Messi na mkewe Antonella Roccuzzo na historia yao

on

Moja kati ya mahusiano ya watu maarufu yanayovutia watu wengi ni Lionel Messi na mkewe Antonella Roccuzzo ambaye ni mwanamke ambaye amekuwa nae toka enzi zake za utoto akiwa kwao Rosario Argentina na sasa wamefanikiwa kupata watoto wawili Thiago na Mateo.

messi-antonella_0

messi-anto

Mahusiano ya wawili hao yalianza mwaka 1996 wakati Lionel Messi na Lucas Scaglia ambaye ni binamu wa Antonella Roccuzzo walikuwa katika timu ya Newell’s Old Boys wakati ambao Messi alikuwa na umri wa miaka 9, Antonella alikuwa na tabia ya kuwafuata Messi na Lucas wakiwa wanaenda katika pwani ya mto Parana.

lionel-e

Antonella alikuwa ni mtoto wa mmiliki wa supermarket Rosario, mahusiano yao yalijulikana wazi 2009 Lionel Messi akiwa na miaka 21 baada ya kuulizwa kwenye interview ya TV kuwa una girlfriend ndio alipojibu ndio yupo Rosario Argentina, lakini rafiki wa mke wa Messi aliwahi kunukuliwa kuwa Antonella aliwaambi wazi rafiki zake kuwa ana mahusiano na Messi July 20 2007.

capture2

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement